Unordered List

Definition List

Duh! 50 Cent Afunguka Kuwa Hupiga Nyeto

50 Cent hivi karibuni aliweza kuaibika baada ya kuanguka kutokana na mchezo wa baseball na sahizi amefunguka kuhusu tukio zima.

Mwanzoni alikuwa akijitetea kuwa uwanja ulikuwa ukiteleza lakini baada ya kusutwa kwa muda ameamua kufunguka.

Akihojiwa na Fiddy katika steshen maarufu, 50 alidai kuwa misuli yake ya mkono wa kushoto iliweza kuharibika kwa sababu ya kupiga nyeto zaidi.
"I have a skeletal muscle injury on my left shoulder from excessive masturbation so take it easy lol,"

50 Cent kwa siku nyingi amekuwa akirusha koments, maoni na mizaha kwa mafans wake huku akiwapiga vijembe maadui wake, huu ukiwa ni moja wapo ya mizaha yake.

Duh! 50 Cent Afunguka Kuwa Hupiga Nyeto Duh! 50 Cent Afunguka Kuwa Hupiga Nyeto Reviewed by Admin on Thursday, June 05, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.