Unordered List

Definition List

Picha: Penny Kabla Na Baada Ya Kuwa Staa

Ushawahi kujiuliza maisha ya mastaa wa kibongo waliyokuwa nayo kabla kuwa maarufu? Je mastaa wenyewe hupenda kuonyesha maisha yao ya zamani? Utagundua ni kuwa mastaa wengi hawapendi kuonyesha maisha yao ama picha za zamani kuhofia kuonekana kama walikuwa na ushamba ama walikuwa na swaga tata.

Picha exclusive iliyopatikana na Fashion Ciurt imeweza kuonyesha picha ya Penny kabla hajakuwa na umaarufu wowote.

Cheki picha yenyewe:
Penny kabla kuwa maarufu
Na cheki mwonekano mpya nyakati hizi za umaarufu:

Wakati wa sasa wa umaarufu
Tofauti kubwa ipo hapa
Picha: Penny Kabla Na Baada Ya Kuwa Staa Picha: Penny Kabla Na Baada Ya Kuwa Staa Reviewed by Admin on Wednesday, May 07, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.