Mji wa Nairobi umekuwa mji usiokuwa wa kushangaza kwani kuna mambo kadhaa ambayo yanaendelea ndani ya mji huo huku yakionekana kama mambo ya kawaida tu. Tushawahi kusikia makanisa ya mashoga, na sahizi makahaba wamepata sehemu yao ya kuabudu. Mhubiri Clement Kariuki wa kanisa la Jesus Ministry House linalopatikana katika barabara maarufu mjini humo ijulikanayo kama River Road imepangwa mahususi kuwalenga makahaba.
Kulingana na bango aliloliekeza mhubiri huyu nje ya kanisa lake, mhubiri huyu anaeleza kuwaombea makahaba kupata wateja zaidi katika kazi yao ya ufuska. Kanisa hili ambalo hufanya kazi wakati wa usiku saa 2 hadi saa 4 limeweza kuwavutia waumini zaidi ya 300.
"Namuamini mhubiri wangu na naamini kwamba wakati anaponifanyia maombi yake huwa napata wateja zaidi wa kulala nao hivyo kipato changu kuongezeka, naona ni kama kanisa la kawaida." aliongea Mwenda* wakati alipohojiwa na blog moja inayojulikana kuvichua maovu jijini humo.
"Sioni kwa nini kanisa langu laweza kuzua utata mwingi kwa watu, mimi kama waumini wengine nawaombea wateja wangu ili wapate mafanikio kibiashara. Ukahaba ulikuwepo toka enzi za masihi Yesu na aliweza kuwatetea na mimi nafanya vivyo hivyo." Mhubiri Kariuki aliongea kwa msisitizo mkuu kabla kurudi kuwaombea wateja wake ambao walivalia nguo za kutamanisha.
Kuningana na kazi zao, mhubiri huyo amewaruhusu makahaba hao kuvalia vile wanavyotaka wao na pasta hufanya maombi kwa kugusa nyeti zao ili kuwabariki. Katini kabla matakaso, wanahitajika kuosha nyeti zao katika chumba maalum kabla kuruhusiwa kuombewa ili wafanye kazi zao usiku huo.
Mhubiri huyo anajishasha kuwa pindi anapofanya maombi yake waumini wake wengi hupata wateja wengi isiku huo na wosia wake ni kuwaalika makahaba wote jijini Nairobi wajiunge na kanisa lake.

TISHA:Mhubiri Afungua Kanisa La Kuwaombea Makahaba Wapate Wateja Zaidi
Reviewed by Admin
on
Thursday, May 08, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano