Unordered List

Definition List

Kim Kardashian Mexico Bikini Photo, Hii Ni Nyingine

Ndoa ya Kim Kardashian na Kanye West inaweza kuwa imeisha lakini Kim anaendelea kulala...chini ya jua.

Yeah! Kim Kardashian kwa mara nyingine amepost picha ya Mexico akiwa katika bikini.

Kwa kuandika 'Tanning', Kim alirusha picha hii mpya kwa Instagram huku akiinjoy holiday akiwa na Kanye West na North West.

Wakati Kim akirelax na mapicha, North West anafanya kazi.

Siku ya Jumatano North West alichukua hatua yake ya kwanza ya kutembea, jambo ambalo lilimfurahisha Kim kiasi cha kurusha post kwa mtandao.

Well hope Nori hatakuja kujua kutumia mtandao manake angejua vile mamake anavyoishi itakuwa nomaaa....
Kim Kardashian Mexico Bikini Photo, Hii Ni Nyingine Kim Kardashian Mexico Bikini Photo, Hii Ni Nyingine Reviewed by Admin on Friday, July 25, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.