Tendo la kupiga punyeto ni tendo ambalo nimepingwa vikali na jamii na linaonekana kama ukosefu wa maadili katika mwanadamu. Ili kufanya watu waache kufanya tendo hili kuna watu walioleta hoja kadhaa kuwa tendo hili lina madhara kwa yeyote anayefanya hivi bila kufanya utafiti wowote.
Kuna propaganda ambazo bado hazijakubalika na wanasayansi kuwa kupiga punyeto kutakufanya uwe punguani, nyingine eti utamea nywele kwa mkono na pia kuna propaganda kuwa ukitimia miaka fulani utaishiwa na nguvu za kufanya tendo la ngono. Kwa wanasayansi hio ni porojo.
Badala ya kuangalia madhara yake (hayajadhibitishwa) wanasayansi wameonelea kuangalia umuhimu wake.
Imedhibitishwa kuwa kupiga punyeto mtu wakati anaposhusha hutoa homoni ijulikanayo kama cortisol ambayo wakati inapotolewa kwa kiwango kidogo huupatia mwili nguvu za kujikinga dhidi ya magonjwa.Kuna propaganda ambazo bado hazijakubalika na wanasayansi kuwa kupiga punyeto kutakufanya uwe punguani, nyingine eti utamea nywele kwa mkono na pia kuna propaganda kuwa ukitimia miaka fulani utaishiwa na nguvu za kufanya tendo la ngono. Kwa wanasayansi hio ni porojo.
Badala ya kuangalia madhara yake (hayajadhibitishwa) wanasayansi wameonelea kuangalia umuhimu wake.
Umuhimu wa kupiga punyeto
Kupiga punyeto kunaongeza nguvu mwilini
Kupiga punyeto huondoa mgando (cramps) kwa wanawake
Imebainishwa kuwa badala ya wanawake kujichoma na maji ya moto wakati wameshikwa na cramps ni vyema na rahisi kwa mmoja kupiga punyeto kwani inarahisisha kusimamisha mgando huo
Kupiga punyeto kunakinga kutokana na kushikwa na kansa ya kibofu (prostate cancer)
Kupiga punyeto kunasaidia kuondoa na kusafisha sumu (toxins) zinazopatikana katika njia za mikojo (urogenital track) ambazo hufanya mtu kushikwa na magonjwa kama ya kansa. Wanasayansi wanadai kuwa kupiga [unyeto mara 3 kwa wiki kunapunguza uwezekano kwako kushikwa na ugonjwa huu wakati umetimia umri wa miaka 40.
Kupiga punyeto kunakupa manufaa ya kufurahia ngono
Punyeto humfanya mtu kujielewa mwenyewe pale ambapo anafahamu vyema kutampa furaha. Pia husaidia mtu kuufahamu mwili wake mwenyewe bila tatizo.
Kupiga punyeto kunakusaidia wewe kupata usingizi
Punyeto hupunguza kasi ya msukumo wa damu na pia kuna homoni ijulikanayo kama endorphins. Homoni hii inajulikana kumpa mtu utulifu na pia huondoa stress mwilini. Pia inajulikana kupatia mtu hisia nzuri.
Punyeto husaidia kuondoa magonjwa ya njia ya mkojo (urinary tracks infection)
Inajulikana kuwa punyeto husaidia kuondoa bacteria katika mlango wa uzazi wa mwanamke (cervix). Punyeto inafaa zaidi haswa kwa wale wanaokubwa na ugonjwa wa njia za mkojo.
Owk! nishakupa manufaa ya punyeto lakini sijakupa visababu kwa kujichafua sana....ukizidi sana fanya mara 3 kwa wiki kama vile wanasayansi walivyokubaliana.
Faida Ya Kupiga Punyeto Kwa Afya Yako
Reviewed by Admin
on
Friday, February 21, 2014
Rating:
duuh...ila mie napinga
ReplyDeleteEndelea kupinga tu...uliza wale wazee wanaougua kensa ya kibofu kama washawahi kupiga punyeto, halafu pia muulize yule mzee wa miaka mia na umuulize kwa nini punyeto muhimu
Delete