Unordered List

Definition List

Rose Ndauka Nusra Aekwe Uchi Na Watoto

Tukio hili lilijiri wakati wa sherehe ya 40 ya mtoto wake ambapo mwanadada huyu aliandamwa na watoto wakaanza kumng'ang'ania nguo yake wakati walipomuona.


Kulingana na Rose watoto hao walimshambulia bila yeye kujua na kuanza kujaribu kumvua nguo. “Hawakutegemea kuniona pale, wengi wamezoea kuniona kwenye TV. Daah nilipata wakati mgumu kidogo maana ilibaki kidogo wanivue nguo, lakini nashukuru Mungu niliwatuliza, wakanielewa nikarudi zangu ndani,” alisema Rose.

Watoto hao walikuwa wakisherehekea siku 40 za mtoto wa Rose nyumbani kwake Tandale Tanesco, Dar.
Rose Ndauka Nusra Aekwe Uchi Na Watoto Rose Ndauka Nusra Aekwe Uchi Na Watoto Reviewed by Admin on Saturday, February 15, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.