Unordered List

Definition List

Miley Cyrus Nusu Uchi Katika Remix Ya 'Adore You'

Tumechoswa na kumuona mwanadada huyu akiwa uchi kila wakati. Huu mwezi pekee Miley ameshawahi kupiga uchi na gazeti la W na pia kugusa matiti yake katika gazeti la Ujerumani la Vogue.

Na hivi sasa mwanadada huyu mwenye miaka 21 ameamua kuwa nusu utupu katika remix yake mpya ya Adore You.

Katika cover ya nyimbo hio Miley ameonekana akiwa kifua wazi bila wasiwasi wowote.

Mwandada huyu kweli amefikia mbali. Kutoka kwa Hanna Montanna hadi shetani mwenyewe.

Cheki remix yenyewe hapo chini ikimuonyesha Miley akijizungusha zaidi kwa kitanda na pia kwa bafu la kuogea.
Halafu kama hujaiona original video yenyewe ikimuonyesha Miley Cyrus alipiga punyeto basi umekosa mengi.

Miley Cyrus Nusu Uchi Katika Remix Ya 'Adore You' Miley Cyrus Nusu Uchi Katika Remix Ya 'Adore You' Reviewed by Admin on Friday, February 21, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.