Unordered List

Definition List

PICHA YA WIKI: Wema Sepetu Na Diamond Platinumz Wakila Bata

Picha ya Diamond Platinumz, Wema Sepetu wakijienjoy siku ya Alhamisi katika Club Pale Runaway.
'Just Popping Bottles'

Diamond Platinumz anaendelea kuonyesha ufahari wake kwa kuonyesha kuwa ni tajiri wa kupindukia upande wa mziki. Wiki jana aliweza kurusha post kwa Instagram kuonyesha kuwa tutarajie mengi kutoka kwake....kula bata uwezavyo!!

PICHA YA WIKI: Wema Sepetu Na Diamond Platinumz Wakila Bata PICHA YA WIKI: Wema Sepetu Na Diamond Platinumz Wakila Bata Reviewed by Admin on Saturday, February 08, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.