Unordered List

Definition List

Wema Sepetu Anatamani Pendo La Diamond Platnumz...Ametoa Dalili!!!

 
 
Wema Sepetu amefunguka na kuonyesha dalili kuwa anatamani pendo la Diamond Platinumz.
 
Dalili ndizo zipi?!?
 
Wema kupitia mtandao wake wa Instagram ameweza kuweka picha ya Diamond na kuweka maneno haya:
'I just happen to love dis picture"
 
Diamond na Wema waliweza kuachana kwa muda mrefu sasa na pendo lao limechukuliwa na Penny(inakisiwa Diamond na Penny ni ndugu) 
 
Kwa sasa haijulikani kama Wema anazungumza na Diamond kisirisiri ama ni ndoto ambayo Wema anaiota. Lakini tayari tunajua wazi kuwa Penny ashakubaliana kugawa tunda moja na Wema Sepetu . Wakati ndio utatupa majibu.
 
Hebu cheki hio picha aliyoiweka Wema
 
 
 
Wema Sepetu Anatamani Pendo La Diamond Platnumz...Ametoa Dalili!!! Wema Sepetu Anatamani Pendo La Diamond Platnumz...Ametoa Dalili!!! Reviewed by Admin on Sunday, December 08, 2013 Rating: 5

2 comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.