Unordered List

Definition List

SHILOLE AYASIFIA MAKALIO YAKE: NI ORIGINAL

Staa anayesifika sana kwa kuonyesha maungo yake zaidi kuliko kipawa chake Shilole, ameamua kujisifu.

Kupitia mtandao wake wa Instagram, mwanadada huyu anayegonga vichwa vya mashabiki wake kila uchao kwa fikra ameamua kuyapiga makalio yake picha halafu kuweka madai kuwa ni original.

Hahaha nadhani Shilole amepata ile habari ya mwanablogger anayefinya makalio ya mastaa kuhakikisha si bandia

Mchina hapa nooooooooooo wala chupi za bambino nooooooooo! Pole mwa fulani kwa kudanganya wengine kwa kuvaa chupi za bambino

Post ya Shilole ilikuwa na maandishi hayo.

Hebu cheki makalio ya Shilolekiuno mwenyewe

SHILOLE AYASIFIA MAKALIO YAKE: NI ORIGINAL SHILOLE AYASIFIA MAKALIO YAKE: NI ORIGINAL Reviewed by Admin on Wednesday, December 25, 2013 Rating: 5

1 comment:

  1. Shilole hata kama Huyo mwafulani anavaa bambino inahusu fanya yako a cha umbea

    ReplyDelete

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.