Unordered List

Definition List

Amanda Atoa Sababu Kwanini Mastaa Wa Kibongo Ni Wasagaji!

MSANII wa filamu, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefungukia sababu za baadhi ya mastaa kujiingiza kwenye tabia chafu ya usagaji akidai kuwa, kutendwa na wanaume ndiyo chanzo cha yote.

Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Amanda alisema maudhi ambayo baadhi ya mastaa wamekuwa wakiyapata kutoka kwa wapenzi wao waliotokea kuwapenda ndiyo husababisha baadhi yao kuona suluhisho ni kuhamia kwenye usagaji.

Hii ni baada ya mastaa kadhaa wa kibongo kufumaniwa ovyo wakisagana live ikiwemo moja Miss Utalii na Staa wa Bongo movies walinaswa wakisagana na mapaparazi 

“Wasanii wanajiingiza huko sababu wanaumizwa na wanaume, wanadhani usagaji ni raha, wanaona hii ni njia sahii ya kujituliza,” alidai Amanda huku akikwepa kujibu swali la kama naye yumo kwenye kundi la wasagaji ama laa.
Stori Na GPL
Amanda Atoa Sababu Kwanini Mastaa Wa Kibongo Ni Wasagaji! Amanda Atoa Sababu Kwanini Mastaa Wa Kibongo Ni Wasagaji! Reviewed by Admin on Friday, December 20, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.