Unordered List

Definition List

Wema Sepetu Na Diamond Platinumz Hawafanani Kifani

Kuna vitu kadhaa ambavyo unaweza kuwalinganisha wasanii hawa wawili.

Wote ni Mastaa, haipiti siku bila kujua mabo yao, wasanii wengine wanatamani kuiga mienendo yao na pia wakati mwingine wanachukua muda kuwazana

Lakini wajua kuwa wawili hawa kila mmoja ana fani yake tofauti na mwenzake?

Wema Sepetu katika mtandao wake wa Instagram ameweza kubainisha wazi kuwa yeye na Diamond Platinumz hawalingani kabisa kifani.
Wema aliandika kuwa Yeye na Diamond hawashindani kama vile watu wanavyofikiria kwa sababu yeye yuko katika nyanja ya filamu na Platinumz yuko katika muziki.
Wema Sepetu Na Diamond Platinumz Hawafanani Kifani Wema Sepetu Na Diamond Platinumz Hawafanani Kifani Reviewed by Admin on Wednesday, December 11, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.