Unordered List

Definition List

Kim Kardashian Aweka Picha Mpya Ya North West, Jeff Koons

Kwa muda sasa staa wa Keeping Up With The Kardashian amepunguza mwendo wake wa kumulikwa na vyombo vya habari haswa baada ya kuchumbiwa kirasmi na Kanye West.

Katika picha mpya ambayo Kim ameweza kuitoa ni ile ya mtoto wake North West na msanii mchoraji Jeff Koons.

Jeff Koons ni mchoraji ambaye anasifika sana kwa michoro yake na ameshaweza kuuza mchoro ambao uliweza kuuzwa kwa $58.4 milioni. Pia ametajwa na Lady Gaga katika nyimbo yake mpya ya 'Applause'

Kim Kardashian aliiweka picha hii kwa Instagram na ilikuwa na maneno haya: "Art lesson"
mtoto wa kim kardashian, north west na jeff koons

Kim Kardashian Aweka Picha Mpya Ya North West, Jeff Koons Kim Kardashian Aweka Picha Mpya Ya North West, Jeff Koons Reviewed by Admin on Saturday, December 07, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.