Unordered List

Definition List

Chezea Makalio Ya Agness Masogange Wewe?!? Utachizika!!!

Kila mtu anatamani kupata nafasi hata kwa sekunde moja kuyasogelea makalio ya Masogange, lakini kweli utayaweza kustahimili kuyaangalia ama utashikwa na kisunzi?

Ulimboka Mwakilasa a.k.a Senga, mwigizaji aliyebugia chumvi katika sanaa ya uigizaji alipata upeo wa kuyaangalia makalio ya mwanadada huyu.

Tatizo ni kuwa alishindwa kustahimili mvuto wa Masogange.

Masogange ana wowowo si haba, yanachizisha mtu yeyote.

Picha iliyotumwa na mdaku aliyeipasha bkuHABARI inaoyesha Senga akijishika kichwa akiwa ameishiwa na mawazo kabisaaaa.

Tukio hili lilinaswa wakati wa kupiga filamu mpya ya Nisha ambayo mwigizaji huyu ameshirikishwa.

Utaweza kweli wewe?

Pssssh Nani ana makalio makubwa kati ya Nisha na Masogange? Yaangalie >>HAPA<<
Chezea Makalio Ya Agness Masogange Wewe?!? Utachizika!!! Chezea Makalio Ya Agness Masogange Wewe?!? Utachizika!!! Reviewed by Admin on Tuesday, December 31, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.