Unordered List

Definition List

Kim Kardashian Aonyesha Zawadi Za North Kutoka Kwa Madesigner Wake, Ajab!

Duh! kweli kuna watoto wa kitajiri dunia hii.

Kim kupitia kwa akaunti yake ya Instagram aliweza kugawa vyombo ambavyo ameachiwa kama zawadi kwa mtoto wake na madesigner wasifika kama vile Giuseppe Zanotti, Stella McCartney, Charlotte Olympia, Michael Coste na Hermès Paris.

Kupitia Instagram yake, Kim aliweza kuweka picha halafu na kushukuru designer mmoja kwa zawadi hizo.
"Thank you so much Giuseppe for the amazing shoes you made for North! WE LOVE YOU,"

Baadhi ya vitu alivyopewa North vikiwemo viatu aina ya 'white fringe booties' na 'black jeweled flats'


Hayo ndio maisha ya watot wa mastaa matajiri....sijui kama roundi hii mafans wa Kim watamkashifu tena kwa kumvalisha mtot wake viatu hivyo ama la.

Wiki iliopita mafans walimkashifu Kim kwa kumpaka Nori vipodozi kwa macho.

"Thank you so much Giuseppe for the amazing shoes you made for North! WE LOVE YOU," - See more at: http://www.thehollywoodgossip.com/2013/12/kim-kardashian-shares-designer-gifts-for-north-west-lacks-self-a/#sthash.bCQRTncn.dpuf
"Thank you so much Giuseppe for the amazing shoes you made for North! WE LOVE YOU," - See more at: http://www.thehollywoodgossip.com/2013/12/kim-kardashian-shares-designer-gifts-for-north-west-lacks-self-a/#sthash.bCQRTncn.dpuf
Kim Kardashian Aonyesha Zawadi Za North Kutoka Kwa Madesigner Wake, Ajab! Kim Kardashian Aonyesha Zawadi Za North Kutoka Kwa Madesigner Wake, Ajab! Reviewed by Admin on Wednesday, December 25, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.