Unordered List

Definition List

Baby Madaha Nusra Abakwe Na Wahuni

Baby Madaha amenusurika kubakwa na machokoraa wahuni jijini Mombasa.

Tukio hilo lilitokea wakati nyota huyo alipokuwa akirekodi video ya wimbo wake uitwao The Gal Bladder ambapo vijana hao walikatisha shughuli nzima na kuanza kumkimbiza Baby Madaha.

Niko na uhakika mkuu kuwa wahuni hao walikuwa mashabiki wakuu wa msanii Diamond Platinumz.(Baby Madaha ana bifu na Diamond)

Kulingana na Baby Madaha, alikuwa na haya ya kusema “Daah! Ilikuwa noma, ilikuwa usiku sasa wakati meneja wangu akinielekeza matakwa ya video hiyo ambayo yalihitaji vijana wa mtaani, ghafla wakatokea vijana wenyewe wa mtaani na kutaka kunibaka. Bahati nzuri nilifanikiwa kutimua mbio na kuwazidi,”

Polepole dada umeyavulia maji, ni wakati wako ya kuyaoga
Baby Madaha Nusra Abakwe Na Wahuni Baby Madaha Nusra Abakwe Na Wahuni Reviewed by Admin on Wednesday, December 11, 2013 Rating: 5

1 comment:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.