Unordered List

Definition List

Diamond Na Prezzo Wanagawa Tabia Moja, Wazijua?!?

Diamond Platinumz ni msanii ambaye anajulikana kuwa anapendwa na madada wengi na amepewa jila la msanii wa wanawake. Lakini sio yeye pekee ambaye anajivunia kuwa na hicho cheo kwani pia msanii Prezzo wa Kenya aka Mr. Prezident ana tabia io hio moja, kuwa na wanawake wengi.

Wasanii hawa wawili wanajivunia kuwa na pesa nyingi huku ikitajwa kuwa Diamond ni msanii anayelipwa zaidi Afrika Mashariki na Prezzo juzi alionyesha mahasimu wake kuwa ni tajiri kwa kuwaonyesha bunduki yake ya AK47 iliyotengenezwa na dhahabu.

Diamond ni msanii anayekumbwa na skendo ya kupenda wanawake ovyo, jaribio lake la mwisho ilikuwa kumchumbia Lulu.

Prezzo naye ameanikwa na blog ya Ghafla nchini Kenya. Wapenzi wa Platinumz wawafahamu, je wa msanii Prezzo wawajua ni kina nani?

Utashtuka baada ya kuona list nzima >>HAPA<<
Diamond Na Prezzo Wanagawa Tabia Moja, Wazijua?!? Diamond Na Prezzo Wanagawa Tabia Moja, Wazijua?!? Reviewed by Admin on Sunday, December 01, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.