Unordered List

Definition List

Kid Ink: Chris Brown Hatamani Kuitwa Yesu

R. Kelly hivi karibuni alimfananisha Chris Brown na Martin Luther King na akaongezea kumfananisha hadi na Yesu mwenyewe.

Lakini pia msanii mwingine anapinga majina hayo, Kid Ink, msanii ambaye ametoa nyimbo ya hit song na Chris Brown 'Show Me' anapinga hayo na kusema kuwa Chris anataka kuonekana kama mtu wa kawaida tena, yaani aonekane mtu kama yeyote wa kawaida anayetia bidii katika maisha yake.


Anyway Chris Brown hahitaji majina makubwa kama yale ya Yeezus ikizingatiwa kuwa Chris ni mtu mwenye hasira za karibu na pia sahizi anang'ang'ana kurudisha picha yake nzuri kwa mafans wake.
Kid Ink: Chris Brown Hatamani Kuitwa Yesu Kid Ink: Chris Brown Hatamani Kuitwa Yesu Reviewed by Admin on Tuesday, December 17, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.