Unordered List

Definition List

Prezzo Azidi Kuonyesha Ubabe Wake, Round Hii Ni Ni Gari

Prezzo anaendelea kumake headline kina kukicha, juzi aliwaita wakwe zake tayari kuoa demu wa kibongo, na wakati kitambo kidogo alionyesha kuwa yeye tajiri kwa kuonyesha bunduki iliyoundwa kwa dhahabu...round hii nouma yaan.

Prezzo ameamua kuonyesha mpira wake, yaan gari lake jipya kabisa lenye thamana kuu.

Hii ni kuashiria kwa mahasimu wake bado yuko zaidi kwa game na yeye ndie prezident wa mziki.

Prezzo yote haya anajaribu kumdiss hasimu wake mkuu msanii Jaguar. Inasemekana kuwa Jaguar anapenda sana kumdharau Prezzo na kumwambia uchafu kuwa yeye hana pesa na bado anaishi na wazazi wake.

Like page yetu ya Facebook upate stori zadi >>HAPA<< 

Cheki hilo gari mpya ya Prezzo nje na ndani hapo chini:
Prezzo Azidi Kuonyesha Ubabe Wake, Round Hii Ni Ni Gari Prezzo Azidi Kuonyesha Ubabe Wake, Round Hii Ni Ni Gari Reviewed by Admin on Sunday, December 29, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.