Unordered List

Definition List

Lady Gaga Apiga Picha Uchi, Aonyesha Matiti Na...

Mwimbaji matata Lady Gaga imekuwa siku hizi haipiti wiki kabla hajaonyesha sehemu zake ya mwili kwa kisingizio eti ni ubunifu.

Tangu atoe albamu yake ya ARTPOP msanii huyu amekuwa akitumia kila mbinu ya kuhakikisha ameweza kuuza albamu yake.

Katika cover ya gazeti la Candy Magazine, Lady Gaga ameonyesha fashion yake mpya kwa kupiga pozi akiwa nusu utupu.

Mashabiki wa Lady Gaga tumewaachia nyinyi muangalie...(uzuri picha hiyo imewekwa kizuizi 'censored')
lady gaga uchi

Lady Gaga Apiga Picha Uchi, Aonyesha Matiti Na... Lady Gaga Apiga Picha Uchi, Aonyesha Matiti Na... Reviewed by Admin on Tuesday, December 10, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.