Unordered List

Definition List

Justin Bieber Kuchua Nafasi Ya Paul Walker Katika Filamu Ya F&F7

Tetesi zinazotoka Hollywood ni kuwa Justin Bieber atachukua nafasi ya Paul Waker.

Bieber mwenye miaka 19 ananafasi ya juu zaidi kuchukua nafasi hio kwani anajulikana kupenda magari sana na pia yuko sawa katika kuendesha magari ya mbio.


Filamu ya Fast & Furious ambayo ilisimamishwa kwa muda sasa inakisiwa kujeuzwa stori ili iambatane na kifo cha Paul Walker mwenyewe.

Ingawa mashabiki wa Paul Walker wanaweza kupinga uamuzi huo. tayari Ludacris ashakubaliana na jambo hilo.

Justin Bieber akipata nafasi hio ataifanya F&F7 kuwa maarufu zaidi kwani an mashabiki wengi
Justin Bieber Kuchua Nafasi Ya Paul Walker Katika Filamu Ya F&F7 Justin Bieber Kuchua Nafasi Ya Paul Walker Katika Filamu Ya F&F7 Reviewed by Admin on Saturday, December 14, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.