Unordered List

Definition List

MILEY CYRUS Apiga Punyeto Katika Video Yake Mpya Ya 'ADORE YOU'

Ok. Miley Cyrus ameamua kuumaliza mwaka kimtindo wake.

Huu mwaka ameuanza na tetesi nyingi kwa kuonyesha viungo vyake vya mwili tangu ule wakati alipotoa video yake ya uchi ya 'Wrecking Ball'.

Kwa muda sasa ameendelea kuonyesha vioja hasa kwa video teaser yake ya 'Adore You' kwa kuonyesha chuchu zake, dalili ya kuwa video yake itakuwa ya kiajabu.

Hatukukosea...

Katika official video ya 'Adore You' ya VEVO, Miley Cyrus ameshangaza kwa mara nyingine baada ya kuonekana akipiga punyeto na kujilambalamba. Katika hii video inayomuonyesha mwanadada huyu aliyejulikana kama Hanna Montanna sura na mwili wake huku akifanya mambo yake...kiufupi AMETISHAAA!

Hebu cheki official video hapo chini:


Miley Cyrus - "Adore You" (Music Video)

Kwa mara nyingine Miley amedhirisha kuwa mwaka wa 2014 utakuwa wa tetesi.
MILEY CYRUS Apiga Punyeto Katika Video Yake Mpya Ya 'ADORE YOU' MILEY CYRUS Apiga Punyeto Katika Video Yake Mpya Ya 'ADORE YOU' Reviewed by Admin on Friday, December 27, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.