Unordered List

Definition List

Bongo Movie Ni Wanafiki, Wanamuonea Wivu Wema Sepetu

Manager wa Wema Sepetu kwa mara ya kwanza amejitokeza hadharani na kusema kuwa Bongo Movies ni mahasimu wakubwa wa Wema na hawamtakii mema.

Kulingana na Martin Kadinda, Bongo Movies wanamuonea wivu Wema na wanafanya juu chini kuharibu nyotaya staa huyu.

Ikizingatiwa kuwa kwa muda sasa Wema amekumbwa na skendo zisizokuwa na mwisho ikiwemo ile ya hivi majuzi ambayo ilimhusisha Wema na gari la kampuni yake.

Pia ukifuatilia vizuri utapata kufahamu kuwa uhasimu huo wa Bongo Movies na Wema uko wazi baada ya Bongo Movies kususia mazishi ya babake Wema

Wema Sepetu alikumbwa na mauti ya babake mwezi wa Oktoba huu mwaka baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Bongo Movies hawamtakii mazuri Wema Sepetu na lao kuu ni kumuangamiza, wataweza kweli?
Bongo Movie Ni Wanafiki, Wanamuonea Wivu Wema Sepetu Bongo Movie Ni Wanafiki, Wanamuonea Wivu Wema Sepetu Reviewed by Admin on Thursday, December 05, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.