Unordered List

Definition List

Kumbe Nguo Anazovaa Bob Juniour Ni Za Kukodisha, Anakwepa Kulipa

Msanii wa Music ambae pia ni Producer wa muziki na mmiliki wa studio ya Sharobaro Records, Bob Junior ameingia katika aibu nyingine baada ya duka moja la nguo kujitokeza na kudai linamdai msanii huyo kiasi cha shilingi 180,000 za kibongo.

Muuzaji wa duka hilo amesema  Bob huwa anaenda hapo kuchukua nguo ambazo huwa wanamkopesha mpaka sasa deni limefikia kiasi hicho na tukimtafuta anapiga chenga kulipa..

Gazeti moja la Bongo limejaribu kumtafuta Bob kumuuliza kuhusu hiyo issue akasema yeye huwa anachukua nguo hizo kwa ajili ya kulitangaza hilo duka so hadaiwi na mtu....
Kumbe Nguo Anazovaa Bob Juniour Ni Za Kukodisha, Anakwepa Kulipa Kumbe Nguo Anazovaa Bob Juniour Ni Za Kukodisha, Anakwepa Kulipa Reviewed by Admin on Sunday, December 08, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.