Unordered List

Definition List

Wema Sepetu Avalia Nguo Ya Aibu, Ajifananisha Na Staa Wa Keeping Up With The Kardashian

Wema Sepetu amejikuta akijishushia heshma yake baada ya kutupia picha mtandaoni zikimuonesha akiwa amevaa mavazi yaliyoacha wazi baadhi ya sehemu nyeti za mwili wake hasa matiti, kitovu na kifua kwa ujumla..

Katika picha hizo ambazo zinapatikana instagram, Wema Sepetu anaonekana akiwa amevaa kiblauzi chenye matundu kiasi cha kuifanya sidiria aliyovaa ionekane huku sehemu nyingine kama kitovu, tumbo na kifua kwa ujumla zikiwa wazi pia.

Kendall Jenner
Kendall Jenner na nguo iliowazi
Nguo aina kama hii ishawahi kuvaliwa na staa wa Keeping Up With The Kardashian, Kendell Jenner ambaye ni nduguye mdogo wa Kim Kardashian.
Wema Sepetu Avalia Nguo Ya Aibu, Ajifananisha Na Staa Wa Keeping Up With The Kardashian Wema Sepetu Avalia Nguo Ya Aibu, Ajifananisha Na Staa Wa Keeping Up With The Kardashian Reviewed by Admin on Saturday, December 14, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.