Unordered List

Definition List

Wayne Rooney Apoteza Nguvu Za Kiume?!?


Mchezaji nyota wa timu ya Manchester United na England, Wayne Rooney anadaiwa alipoteza nguvu zake za kiume baada ya kuwekwa nywele bandia mwaka jana

Kulingana na kituo cha runinga cha KTN cha nchini Kenya, kimedai kuwa Rooney amekuwa akimsumbua daktari wake huku akimtaka amrudishie pesa zake baada ya kupata madhara ya kupoteza nguvu za kiume kutokana na kubandikwa nywele bandia kwenye kipara chake, hali iliyopelekea kusababisha mgogoro mkubwa ndani ya familia ya mchezaji huyo.
Wayne Rooney Apoteza Nguvu Za Kiume?!? Wayne Rooney Apoteza Nguvu Za Kiume?!? Reviewed by Admin on Thursday, December 05, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.