Unordered List

Definition List

Huddah Monroe Amchana Live Jackie Cliff Kwa Uozo Waze

Huddah Monroe aka Thee Boss Lady amerusha dongo kwa mrembo wa Tanzania Jackie Cliff ambaye alikamatwa na dawa za kulevya aina ya Heroin nchini china.

Tweet ya Huddah inadai kuwa Jackie Cliff ni mrembo ambaye alitaka kuishi maisha mazuri ya haraka na kutumia vitu vya kifahari, pia akaambatanisha na picha mbili zinazomuonesha Jackie akiwa amepozi kabla ya kukamatwa na nyingine akiwa na pingu, picha iliyotolewa na gazeti la nchini China.

Katika tweet nyingine Huddah ambaye hupenda kuonesha maisha ya kifahari anayoishi,  amefunguka zaidi na kuonesha kuwa yeye ni muoga na asingeweza kufikia kiwango hicho.


“So this beautiful Tanzanian girl was caught with a KG of Cocaine. That’s now a BAD ASS B**CH! I’m such a coward…I swear I’m not BAD!” Huddah ametweet.
Huddah Monroe Amchana Live Jackie Cliff Kwa Uozo Waze Huddah Monroe Amchana Live Jackie Cliff Kwa Uozo Waze Reviewed by Admin on Monday, December 30, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.