Unordered List

Definition List

Jackine Wolper Ajeuka Gumzo La Mtaa Baada Ya Nguo Yake Ya Kiajabu.

ok Diamond Platinumz alipata funzo baada ya kuvalia nguo ya kustaajabisha. Lakini tatizo ni kuwa staa miaka yote atakuwa staa na nguo yoyote akifaa atapondwa na kusifiwa kulingana na vile mtu atakavyochukulia.

Round hii Wolper nadhani sijui utamsifia ama utamponda. Yaani ametisha na kinguo chake kipya alichokirusha kwa mtandao.

Jackine Wolper ameamua kuachana na kupiga picha za uchi msimu huu wa krismasi na kuamua kuachilia mtindo mpya wa kusherehekea krismasi.

Hebu cheki mtindo wenyewe hapa chini:

Jackine Wolper Ajeuka Gumzo La Mtaa Baada Ya Nguo Yake Ya Kiajabu. Jackine Wolper Ajeuka Gumzo La Mtaa Baada Ya Nguo Yake Ya Kiajabu. Reviewed by Admin on Sunday, December 29, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.