Unordered List

Definition List

HUDDAH MONROE AWEKA PICHA NYINGINE ZA....!!!

Huddah Monroe kwa mara nyingine ameachilia picha zake mpya kwa mtandao.

Baada ya kutolewa kisanga na mfanyakazi wake wa nyumbani kwa kumuibia pesa, sasa anatafuta mbinu mbadala za kumfanya yeye kupata ajira kwa kutumia mbinu ya kuonyesha viungo vyake vya mwili kama alivyotumia dadake Kim..

Picha za wakati huu Huddah ameweza kuonyesha maungo yake yote na kujaribu kuzizima zile tetesi zote kuwa yeye ameongeza mwili wake kwa kuwa mnene.

Hebu cheki hizo picha mpya alizoziweka mpya >>HAPA<<

Zile Picha wakati alipokisiwa kuwa mnene >>HAPA<<
HUDDAH MONROE AWEKA PICHA NYINGINE ZA....!!! HUDDAH MONROE AWEKA PICHA NYINGINE ZA....!!! Reviewed by Admin on Wednesday, December 11, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.