Unordered List

Definition List

Miley Cyrus Aonyesha Chuchu Katika Video Yake Mpya?!?

Miley Cyrus ni mwanamziki asiyeonea haya kuonyesha sehemu zake za mwili uchi.

Tukio lake la mwisho ni ile kampeni ya 'free the Nipple' ambayo anataka wanawake wawe huru kuonyesha matiti yao hadharani.

Katika video teaser yake mpya ya 'Adore You' aliyoiweka katika mtandao wa Instagram, Miley ameshangaza.

Ameonya chuchu zake kibahati mbaya ama ni maksudi ama ni macho ndio yanatuchanganya.

Hebu iangalie mwenyewe hapa chini.


Miley Cyrus Aonyesha Chuchu Katika Video Yake Mpya?!? Miley Cyrus Aonyesha Chuchu Katika Video Yake Mpya?!? Reviewed by Admin on Sunday, December 22, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.