Unordered List

Definition List

Diamond Platinumz Kwani Hana Nguo Nyingine?!? Cheki Alivyovalia Tena

Waikumbuka ile suruali Diamond aliyoivalia ile siku alivyokuwa katika harusi ya Peter wa P Squre? Alizomewa si haba na kwa mara nyingine ameivalia tena.

Kupitia mtandao wake wa Instagram, staa huyu kwa mara nyingine ametinga suruali io hio lakini wakati huu ameiombea dua ili watu wasimchekelee kwa sababu ina utata mwingi.
 
Ijapokuwa aliomba dua asichelewe, hakusazwa kwani kama alivyozomewa na nigeria pia bongo alichekelewa vivyo hivyo...kuwa mjanja Diamond
Diamond Platinumz Kwani Hana Nguo Nyingine?!? Cheki Alivyovalia Tena Diamond Platinumz Kwani Hana Nguo Nyingine?!? Cheki Alivyovalia Tena Reviewed by Admin on Friday, December 13, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.