Unordered List

Definition List

Miley Cyrus Adengua Kiuno, Na Kujichapa Makalio Nje Ya Stage(VIDEO)

Je wajua mambo anayoyafanya Miley Cyrus akiwa chini ya jukwaa?

Imebainika kuwa mambo anayoyafanya akiwa juu ya jukwaa ni yale yale anayoyafanya nje ya stage.

Katika video iliyowekwa kwa mtandao wa Instagram, imemuonyesha Miley akidengua kiuno huku akijipiga makalio mara kadhaa.

Hakukuwa na tukio la uvutaji bangi lakini.

Hebu cheki video hapa chini.


Halafu kama wataka kuona vituko zaidi ya Miley Cyrus hebu cheki hii video teaser yake ya 'Adore You' utuambie kama ni chuchu zake amezionyesha kibahati mbaya ama ndio vipi!
Miley Cyrus Adengua Kiuno, Na Kujichapa Makalio Nje Ya Stage(VIDEO) Miley Cyrus Adengua Kiuno, Na Kujichapa Makalio Nje Ya Stage(VIDEO) Reviewed by Admin on Monday, December 23, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.