Unordered List

Definition List

Rebecca Black, Ametoa Nyimbo Ya 'Saturday' Baada Ya Sherehe Ya 'Friday'

Wamkumbuka yule mtoto aliyetoa nyimbo ya 'Friday' ambayo ilimfanya yeye kuwa staa kwa muda mfupi kwa mtandao?

Wakati huu pia amekuja na nyimbo nyingine...

Baada ya kutoa video hio(Friday) mwaka wa 2011, msanii huyu kwa jina Rebecca Black sasa ametoa nyimbo nyingine kwa jina 'Saturday'

Nyimbo hio ya 'Saturday' inaendeleza ile ya 'Friday' ambapo inaendelea pale walipoachia kwa kusafisha vyombo ambavyo vilitumika katika sherehe, marafiki waliozimika baada ya kulewa sana na...

...baada ya hapo wanajitosa katika ufuo baharini na kusherehekea zaidi...kwa sababu 'Its Saturday'

Hebu icheki official video yenyewe hapa chini:

Rebecca Black, Ametoa Nyimbo Ya 'Saturday' Baada Ya Sherehe Ya 'Friday' Rebecca Black, Ametoa Nyimbo Ya 'Saturday' Baada Ya Sherehe Ya 'Friday' Reviewed by Admin on Sunday, December 08, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.