Unordered List

Definition List

Ali Kiba Alaani Kolabo Yake Na Diamond Platinumz, Haitawahi Kutokea

Unategemea kusikia collabo ya Diamond Platnumz, Ali Kiba na Ommy Dimpoz? Kama una ndoto hiyo, basi iondoe kabisa kwa sababu kwa mujibu wa Ali Kiba, kuwepo kwa collabo hiyo ni sawa na kudeki bahari, haiwezekani.


Katika account yake ya Twitter Ali Kiba ameweka wazi kuwa jambo hilo halitawahi kutendeka.

Diamond na Ali Kiba ni paka na panya na kamwe mafahali hawa wawili hawawezi kukaa kwenye zizi moja.
Ali Kiba Alaani Kolabo Yake Na Diamond Platinumz, Haitawahi Kutokea Ali Kiba Alaani Kolabo Yake Na Diamond Platinumz, Haitawahi Kutokea Reviewed by Admin on Sunday, December 22, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.