Unordered List

Definition List

Kim Kardashian Aweka Picha Mpya Ya Nori West: Angalia Tofauti

Kim Kardashian kwa mara nyingine ameweza kuachilia picha za mtoto wake North West lakini round hii picha hio ni tofauti ukilinganisha na zile picha zake nyingine.


Amepakwa vipodozi vya macho.

Ukiangalia vizuri utapata kuona kuwa macho ya msichana huyu Nori yamekuwa meusi zaidi huku maswali yakianza kuulizwa kama ni kweli Kim Kardashian ameanza kumuweka vipodozi mtoto wake.

Ni mtoto wa supastar wengine wangesema so hakuna tatizo na hapo kwani Kim hatakuwa staa wa kwanza kupodoa mtoto wake.

Picha hii ilitumwa kwa mtandao wa Kim wa Instagram na maneno "SMILE"
Kim Kardashian Aweka Picha Mpya Ya Nori West: Angalia Tofauti Kim Kardashian Aweka Picha Mpya Ya Nori West: Angalia Tofauti Reviewed by Admin on Wednesday, December 18, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.