Unordered List

Definition List

Msanii Wa Genge Jua Kali Ashikwa Na 'Muscle Pull' Baada Ya Kutingishiwa Kiuno Na Mchezaji

Msanii ambaye anajiamini kwa kujiita mfalme wa nyimbo za genge nchini Kenya ameweza kulemewa wakati alipokuwa akifanya shoo jijini Kisumu.

Msanii huyu anayejulikana kupenda wanawake wenye makalio makubwa ameweza kushikwa na mshtuko wa misuli 'muscle pull' baada ya kutingishiwa makalio mazito na mwanadada mchezaji.

Kuhakikisha hilo, msanii huyu anayejifahamisha kama baba yao aliweza kulalamika akiongea na wasanii wengine wakati alipokuwa nje ya jukwaa. Alisikika akidai hivi:

"baba yao Leo amepata Mama yao, sema mtoto kujibeba vinoma sasa nikatufuta tu robb kujisugua"

Kweli atayaweza mauno na makalio ya Snura huyu?

Msanii Wa Genge Jua Kali Ashikwa Na 'Muscle Pull' Baada Ya Kutingishiwa Kiuno Na Mchezaji Msanii Wa Genge Jua Kali Ashikwa Na 'Muscle Pull' Baada Ya Kutingishiwa Kiuno Na Mchezaji Reviewed by Admin on Wednesday, December 04, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.