Unordered List

Definition List

IMEKUWA RASMI: PREZZO AMCHUMBIA DEMU WA KIBONGO!!! RAHUSI IKO NJIANI!!!

Imekuwa rasmi kuwa Prezzo sasa anamchumbia demu wa Kibongo, Chaggabarbie.

Prezzo muda huu yuko mbioni kufanya juu chini kuhalalisha ndoa yake na mchumba wake wa kibongo.

Kulingana na mdaku aliyeipasha bkuHABARI, Prezzo yuko serious na hataki mchezo kabisa na kuhusishwa na mambo yanayoweza kumshusha hadhi.

Kulingana na habari zinazotoka kutoka katika familia ya Prezzo, inasemekana kuwa Prezzo wakati huu yuko serious, hana mizaha kabisa na huyo demu wa kibongo amemchizisha sana kiasi cha kumfanya staa huyu wa bling bling kukutana na wakwe zake tayari kufanya maandalizi ya harusi.





Harusi iko katika maandalizi na tarehe yake bado haijajulikana...

Prezzo alipojaribu kubigiwa simu alikuwa na haya ya kusema:
"True story my brother,the king finally found the queen and ain't playing no games with this"

Ok. Kwa madada wote waliotamani kuchumbiwa na Prezzo itakuwa sorry kwani Prezzo ashapata tunda.



IMEKUWA RASMI: PREZZO AMCHUMBIA DEMU WA KIBONGO!!! RAHUSI IKO NJIANI!!! IMEKUWA RASMI: PREZZO AMCHUMBIA DEMU WA KIBONGO!!! RAHUSI IKO NJIANI!!! Reviewed by Admin on Friday, December 27, 2013 Rating: 5

1 comment:

  1. Haahaa hongera zako bro watajibeba wabongo waliojitongozesha redioni oa kaka

    ReplyDelete

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.