Unordered List

Definition List

Beyonce Ametoa Album Mpya, Ameshtua Mafans Wake Wa Twitter!!!

Kanye West ameapa kummaliza Beyonce kimziki kwa kuhakikisha Kim Kardashian atakuwa staa wa R'n B, lakini wajua kuwa Beyonce hana haraka!?
Beyonce

Kwa kushangaza wengi, staa huyu wa nyimbo All The Single Ladies jana Ijumaa ametoa album yake mpya kabisa kwa jina 'BEYONCE' ambayo hakuifanyia matangazo yeyote, kwa kifupi beyonce ametisha.

Cha kutisha zaidi ni kuwa ametoa albamu kamili yenye nyimbo14 na video 17 na sahizi zinapatikana kwa mtandao wa iTunes.
Albam Cover ya BEYONCE

Twitter nayo kwa mshtuki, wasanii kadhaa ikiwemo Snoop Dogg na Katy Perry waliweza kueleza mishtuko yao. Snoop alidai kuwa Beyonce amefanya game kubadilika na Katy alionyesha kushangazwa, na mtu yeyote asiongee naye ila kuhusu Beyonce...

Umeshtuka wewe?

Hebu zisome baadhi ya Twitter na nyimbo zote katika albamu yake:

Demi Lovato: "I'm literally FUH-REAKING OUT over this new #BEYONCE... The music vids?!!?! I CANT HANDLE THIS MUCH FIERENESS.... #NOJOKE #DYING. Sexiest woman ON THE PLANET... and WHO DIRECTED THESE VIDEOS?!!? #OBSESSED #BEYONCE #imightbeobsessedwithher #IWANTTOBEHER."

Ryan Phillippe: "Queen B brought that dirt. Into it."

Emma Roberts: "Beyonce. Are you kidding me with this?! #Supreme #love #everything."

Katy Perry: "B done broke the internet. #stanning. Don't talk to me today unless it's about @Beyonce THANX."

Abigail Breslin: "The new Beyonce album is so perfect wow."

Snoop Dog: "my girl @beyonce just changed d game!!"

Solange Knowles: "I'm sitting here watching THE most artful and perfect project ever....@Beyonce. Just layed me out. #proudsister."

Nyimbo za albamu yake mpya:
  1.     Pretty Hurts
  2.     Haunted
  3.     Drunk In Love (feat. Jay Z)
  4.     Blow
  5.     No Angel
  6.     Partition
  7.     Jealous
  8.     Rocket
  9.     Mine (feat. Drake)
  10.     XO
  11.     Flawless (feat. Chimamanda Ngozi Adiche)
  12.     Superpower (feat. Frank Ocean)
  13.     Heaven
  14.     Blue (feat. Blue Ivy)
Beyonce Ametoa Album Mpya, Ameshtua Mafans Wake Wa Twitter!!! Beyonce Ametoa Album Mpya, Ameshtua Mafans Wake Wa Twitter!!! Reviewed by Admin on Saturday, December 14, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.