Unordered List

Definition List

Kim Kardashian Katika Bikini: Mwili Wake Wa Zamani Umerudi!!!

Katika Gazeti la Us Weekly, Kim Kardashian ameamua kuwaponda mahasimu wake wote waliokuwa wakimuenjoy wakati alipokuwa mja mzito na pia amewakashifu wote ambao wanarusha tetesi kuwa alifanya upasuaji ili kurudisha shepu yake ya hivi sasa.

Kim Kardashian Us Weekly



Kim anasema kuwa jambo lililomfanya yeye kurudi shepu yake ya kawaida ni baada ya kufuata masharti ya Atkin's Diet na hakuna lolote la ziada alilolifanya...

Kim aliliambia gazeti hilo kuwa anajisikia yupo sasa na alifanya bidii ili kurudi hapo alipo sasa


Mengi zaidi na picha zaidi kumhusu Kim Kardashian jichukulie nakala yako ya Us Weely Ijumaa ya leo.
Kim Kardashian Katika Bikini: Mwili Wake Wa Zamani Umerudi!!! Kim Kardashian Katika Bikini: Mwili Wake Wa Zamani Umerudi!!! Reviewed by Admin on Friday, December 13, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.