Kwa mara yake ya kwanza tangu azaliwe, rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameweza kumsalimia rais wa Marekani Barrack Obama.
Hili ni jambo geni kabisa na fursa kama hii hangeweza kuiachilia ipotee, rais Uhuru aliweza kuiweka picha hio kwa mtandao wake wa Facebook kuonyesha pia yeye anaweza kutangamana na wakuu wengine ambao anawaona kama mahasimu wake kisiasa.
Hili si jambo la kushangaza kwani Uhuru Kenyatta na Obama ni mahasimu kwa sababu ya swala la ICC huko nchini Hague.
Tukio hili lilijiri nchini Afrika Kusini katika uwanja waSoccer City, Johannesburg.
Wakuu wa nchi zaidi ya 100 waliweza kuhudhuria ili kumuaga mwendazake Nelson Mandela aliyeweza kuaga dunia baada ya kuihi miaka 95.
Hahahah...cheki sura ya Uhuru ilivyokaa, ameingiwa na msisimko wa furaha usiokuwa wa kawaida.

Rais Uhuru Kenyatta Apata Fursa Yake Ya Kwanza Kabisa Kumsalimia Obama, Aiweka Picha Kwa Facebook
Reviewed by Admin
on
Wednesday, December 11, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano