Kumeanza kuibuka stori ambazo misingi yake bado changa na hatuwezi kurukia kwa majibu kuwa swali la kuwa Je Diamond anauhusiano wa kimapenzi na Zari? Juzi kuliibuka picha ya Diamond na Zari wakitomasana vile so kukaanza kuulizwa maswali.
Hivi tunavyoongea kuna picha mpya Iliyoingia mjini kutoka Instagram ikimwonyesha Diamond akiwa na Zari, huku post yenyewe ikiacha maswali chungu nzima....
Thank you @diamondplatnumz for this opportunity. Africa get ready for our new project #uganda #Tanzania
Baada ya Zari aka The Lady Boss kupost hiyo picha Insta hizi ni baadhi ya message kutoka kwa mafans wao:
maulidmlangwa Kwanza walitoka wote south afrika Pamoja,walipanda ndege moja,walikaa siti pamoja,walishuka dar pamoja,wanakutana sehemu mbalimbali za starehe pamoja,wanafanya project Pamoja! Mimi nahisi kizungu zungu mwenzenu!
who_iz_the_boss Who else was talking?? Abi next tym u should learn how to watch n keep calm. My boss is too smart to play around. Thanks for ur time
dalalmwanamke Diamond ukirudi kwa wema umelogwa tena alokuloga mifupa saiv loh! Huyu ndo wife sio material tuu bali materialization ana kila kitu kashulishuli anajitambua husemi ana shida ya pesa mmh mmmh kikubwa na point yng ya msingi ilipo ni #Hardworkerwoman soo pleeeez @zarithebosslady naomba utuokoleee huyu star wetu hope mkiwa nae atafikia anapowaza kila siku plz i berg you @zarithebosslady ntaliaaaaaaa
fruiternest I am waiting to see this episode. Its ridiculous u never even post your husband .... ur rich , u lost my respect! No project ... this is scandal
Sasa sijui kama video imeanza ama ilianza chini ya maji ama tuitarajie kuanza....tegea humu ndani kwa latest

Picha Nyingine Za Diamond Na 'The Lady Boss' Zaibuka...Mashabiki Waanza Kushuku
Reviewed by Admin
on
Sunday, November 09, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano