Unordered List

Definition List

Corazon Kwamboka Asherehekea Birthday Yake Kimtindo. Atengeneza Keki Yenye Shepu Ya Makalio Yake

Corazon Kwamboka siku ya Ijumaa 15 aliweza kutimiza miaka 22 tangu kuzaliwa kwake.

Kupitia Instagram aliweza kusherehekea pamoja na marafiki na mafans wake wa dhati huku wengi wakirusha picha na comments za kumtakia miaka 22 tangu azaliwe.

Well, kama kawaida Corazon anafahamika sana kwa umbo lake tata la kuvutia haswa makalio yake ndio silaha yake, so kuonyesha kuwa anayathamini sana aliweza kutengeneza keki yenye umbo la shepu ya makalio yake...
Bila wasiwasi Corazon aliirusha picha hii kwa mtandao wa Instagram na kuambatanisha maneno: Bday cake.. coz I lovr ass n LV

Ok hakuna mtu alitarajia kumwona Corazon Kwamboka na mitindo ya kuvalia nguo bila chupi sababu hii ilikuwa siku yake spesheli ya kusherehekea birthday yake hivyo basi 'heshima' ilikuwa jambo muhimu.

Corazon alizaliwa tarehe 15 august 1992.
Corazon Kwamboka Asherehekea Birthday Yake Kimtindo. Atengeneza Keki Yenye Shepu Ya Makalio Yake Corazon Kwamboka Asherehekea Birthday Yake Kimtindo. Atengeneza Keki Yenye Shepu Ya Makalio Yake Reviewed by BkuHabari Admin on Tuesday, August 19, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.