Unordered List

Definition List

Diamond Platnumz Awasuta Na Taarabu Wote Wanaomtakia Kuachana Na Wema Sepetu

Diamond Platinumz amepost kwenye Instagram kipande cha wimbo wa Taarab kinachowakejeli wote wanaotaka yeye na mpenzi wake Wema Sepetu watengane.
Katika kipande hicho cha video, ameunganisha picha mbalimbali akiwa amepoz na Wema kuonesha jinsi ambavyo penzi lao liko Imara.

Siku chache zilizopita Diamond na Wema Sepetu walikuwa mada kubwa baada ya mashabiki wa Wema kuanzisha kampeni yenye hashtag #BringbackOurWema, wakimtaka Diamond amrudishe kwenye chart yake Wema ambaye walidai amejikita kwenye mapenzi zaidi hivi sasa.
Diamond Platnumz Awasuta Na Taarabu Wote Wanaomtakia Kuachana Na Wema Sepetu Diamond Platnumz Awasuta Na Taarabu Wote Wanaomtakia Kuachana Na Wema Sepetu Reviewed by Admin on Monday, August 25, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.