Shilole aka Shilole kiuno alipata aibu baada ya mashabiki wake kumwinjoy na kumkejeli kwa kuvalia minisketi katika mahojiano kipindi cha TBC.

Baadhi waliotoa maoni ni kuwa Shilole anaaibisha kwa kuvalia kiguo kifupi huku wengine wakitoa maoni kuwa alichovalia inafundisha watoto maadili yasiofaa.
Cheki baadhi ya koments

Baadhi waliotoa maoni ni kuwa Shilole anaaibisha kwa kuvalia kiguo kifupi huku wengine wakitoa maoni kuwa alichovalia inafundisha watoto maadili yasiofaa.
Cheki baadhi ya koments

Shilole Aaibishwa Instagram Baada Ya Kuvalia Kimini Sketi Katika Interview TBC
Reviewed by Admin
on
Tuesday, August 05, 2014
Rating:

No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano