Unordered List

Definition List

Nora Akana Hutuma Za Kuchopoa Mimba

Msanii aliyewahi kutamba miaka ya nyuma na kundi la Kaole Nuro Nassoro ‘Nora’ ameamua kufunguka baada ya tuhuma nzito iliyokuwa inamkabili ya kudaiwa kuchoropoa mimba ya msanii mwenzake…..

Nora anadaiwa kuwa katika uhusiano na mmoja wa wasanii wa siku nyingi huku wiki za hivi karibuni akifululiza kwenda hospitali na wambeya wakadai ni ujauzito na kwamba yupo kwenye harakati za kuutoa…

Nora mwenyewe akiongea na mwandishi wa habari hii aliweka wazi kuwa suala la kwenda hospitali kupima ni kawaida yake na kwamba maneno hayo yanakuzwa na wabaya wake.“Hakuna suala kama hilo. Hivi mtukwenda kucheki afya yako ndo kutoa mimba? mbona wapo wanaokesha huko na hawasemwi? Sina mpango huo na huyo msanii anayejitapa kuwa nimetoa mimba yake nikimjua atanieleza ni lini nililala naye mpaka akanipa mimba”,alisema Nora
Nora Akana Hutuma Za Kuchopoa Mimba Nora Akana Hutuma Za Kuchopoa Mimba Reviewed by Admin on Tuesday, August 05, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.