Unordered List

Definition List

Irene Uwoya: Sipendi Kuvaa Chupi

Irene Uwoya round hii amekuja na mapya. Na roundi hii si kuhusu mpenzi wake ambaye ni dansa bali ni tofauti.

Staa huyu bongo anawashangaza wengi kwa mambo yake anayoyapenda, awali alidai kuwa anapenda na kuvutiwa na wanaume wenye vitambi, anapenda mitindo yake tata ya kupiga picha za utupu na pia skendo zake nyingi na kupigania wanaume wa watu.....

Hivi majuzi akiongea na gazeti la VIBE, Irene amefunguka kuwa hapendi kuvaa chupi.

Katika interview hio alipoulizwa na mwandishi wa jarida hilo kuwa ni nguo gani ni vigumu kuikuta kwenye kabati lake, alisema “Chupi – sipendi kabisa hilo vazi”
Irene Uwoya: Sipendi Kuvaa Chupi Irene Uwoya: Sipendi Kuvaa Chupi Reviewed by Admin on Sunday, August 17, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.