Unordered List

Definition List

Picha Za Agness Masogange Na Corazon Kwamboka Wakiwa Kitandani, Wapimishana...??

Siku ya jana katika blogsphere stori iliyokuwa imepewa kipao mbele zaidi ni kukutana kwa Agness Masogange, video vixen queen bongo; na Corazon Kwamboka, booty queen nairobi.

Wawili hawa kama kawaida yao Instagram ni kuachilia mapicha na kusifiana kwa zamu kwa mashibi wao....

Well, picha moja ya wawili hawa ilionipa atenshen nyingi ni hii wakiwa wawili pamoja kwa kitanda.

Najua picha hii haina tatizo kwa kuwa Masogange sana huwa na confidence nyingi za kupiga picha akiwa kitandani zaidi...so bila shaka hii idea itakuwa ameitoa yeye. So bado najiuliza kama wawili hawa walikuwa na ajenda ya kupimishana makalio kujua ya nani makubwa? (Huku ikizingatiwa kuwa Masogange ashawahi kupimishana makalio na Nisha kwa kitanda)
Picha Za Agness Masogange Na Corazon Kwamboka Wakiwa Kitandani, Wapimishana...?? Picha Za Agness Masogange Na Corazon Kwamboka Wakiwa Kitandani, Wapimishana...?? Reviewed by Admin on Saturday, August 09, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.