Unordered List

Definition List

Ney wa Mitego na Madee Walikuwa Paka na Panya, Soma Kilichotokea Mpaka sasa ni Marafiki Wakubwa

Ilisemekana kama mwaka moja uliopita wasanii wa Bongo Flava, Nay Wa Mitego na Madee walikuwa na ‘bifu’ kubwa na ilichochewa na mitandao ya kijamii na vyombo vya habari.

Tatizo kati yao lilikuwa ubabe wa nani anaibeba Manzese na nani ndiye Rais wa Manzese wakati Madee akijiita Rais na Nay akawa akisema hakuna Rais huko Manzese.

Siku zilivyo zidi kwenda walionekana kwenye show tofauti wakiwa pamoja na kupiga show kwenye jukwaa moja bila tatizo. Interviews kwenye radio kuhusuugomvi wao zilipungua na pichazao wakiwa pamoja zikasambaa, Kwa sasa hawa jamaa ni marafiki wa karibu sana Hata Lift Wanapeana bana.
Ney wa Mitego na Madee Walikuwa Paka na Panya, Soma Kilichotokea Mpaka sasa ni Marafiki Wakubwa Ney wa Mitego na Madee Walikuwa Paka na Panya, Soma Kilichotokea Mpaka sasa ni Marafiki Wakubwa Reviewed by Admin on Friday, August 29, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.