Unordered List

Definition List

Picha: Miley Cyrus Afuga Nguruwe Kama Pet Wake

Miley Cyrus amerusha picha mpya kwa mtandao wa kijamii wa Instagram.

Round hii hakuweka picha zake tata za kawaida.

Miley aliweza kurusha picha kwa fans wake milioni 11 Instagram akiwa na mfugo huu mpya na kuweka maandishi:
"Newest member to the fam #bubbasue. Happiest mommy ever."

Bubba Sue atakuwa nguruwe wake wa pili kufuga baada ya mwaka 2012 ambapo PETA walimruhusu kufuga wanyama kama pet.
Picha: Miley Cyrus Afuga Nguruwe Kama Pet Wake Picha: Miley Cyrus Afuga Nguruwe Kama Pet Wake Reviewed by Admin on Tuesday, August 12, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.