Kwa mtandao kumekuwa na pinafsi tofauti tofauti ambazo zimewavutia wengi....lakini ya huyu jamaa anayemiliki mbwa amepiga selfie itakayokufanya uisambaze kwa Facebook na Twitter sababu imetishaaa.
Hii ni selfie ya kwanza kabisa ambayo haifanyiwa editing kuunganisha sura ya binadamu na mbwa kutoa pinafsi ajab.
Hebi icheki

Hii ni selfie ya kwanza kabisa ambayo haifanyiwa editing kuunganisha sura ya binadamu na mbwa kutoa pinafsi ajab.
Hebi icheki

Jamaa Ajiunganisha Na Mbwa, Apiga Pinafsi Inayotajwa Kuwa 'Best Selfie On The Internet'
Reviewed by Admin
on
Sunday, August 17, 2014
Rating:

No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano